News
YANGA imebakiza hatua ya kumtambulisha tu kocha wake mpya atakayekuja kubeba safari ya kusaka mafanikio zaidi ya mabingwa hao wa soka nchini.
MICHUANO ya Yamle Yamle Cup inayoendelea kuchezwa Uwanja wa Mao A na B kisiwani Unguja, ipo mzunguko wa pili ambapo ...
NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Hamis Mwinjuma ameipongeza Kampuni ya CRCEG ya kutoka nchini China ambayo ...
VURUGU walizoanza nazo mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga katika kutangaza majembe mapya, zimeanza kushtua.
LICHA ya nguvu ya ziada iliyotumiwa na mabosi wa Simba kumshawishi beki na nahodha aliyemaliza mkataba wake ndani ya kikosi hicho, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kumshawishi abaki, ...
BEKI wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' sio tu kumaliza mkataba wake kikosini hapo, pia ameiaga rasmi akionyesha ...
KATIKA kuimarisha eneo la kiungo, Simba imeanza harakati mapema za kulijenga eneo hilo ambalo tayari kuna nyota wanne ...
JUMLA na wakimbiaji 4,000 wanatarajiwa kushindana katika mbio za hisani za Bugando Health Marathon msimu wa pili zenye lengo ...
UCHAGUZI Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uliopangwa kufanyika Agosti 18 mwaka huu, huenda ukapigwa kalenda kutokana ...
NI rasmi sasa Che Malone Fondoh hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba msimu ujao, hii ni baada uongozi wa timu hiyo kukamilisha ...
RASMI Dodoma Jiji imemalizana na makocha wake walioisimamia timu hiyo msimu uliopita, ikiwakabidhi barua za kuhitimisha ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results