News
WAKATI klabu nyingine zikiendelea kuchangamkia mchakato wa usajili, Coastal Union imeshtukia kitu, imeamua kwanza kuanza na ...
UONGOZI wa Singida Black Stars umefikia makubaliano ya kuachana na kiraka, Edward Charles Manyama baada ya kuitumikia kwa ...
Nyota wa Simba, Debora Fernandes Mavambo naye ameaga na kwamba hatokuwa kwenye kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao 2025/26.
Kocha wa Harambee Stars, Benni McCarthy ametaja rasmi kikosi cha wachezaji 25 kwa ajili ya mashindano CECAFA ya Mataifa manne ...
JULAI 9, 2022, ilikuwa siku ya kihistoria kwa mashabiki na wanachama wa Yanga baada ya kumchagua Injinia Hersi Said kuwa rais ...
LIVERPOOL wamefanya mazungumzo ya awali na Real Madrid kuhusu winga wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Brazil Rodrygo, mwenye ...
VIONGOZI wa Yanga wamepanga Jumapili hii kuanza msimu mpya kwa kutambulisha benchi jipya la ufundi kisha kutangaza mastaa waliopewa ‘thank you’ na kumalizia wapya waliosajiliwa kabla ya ...
KUNA mazungumzo yanafanyika baina ya viongozi wa Simba na mshambuliaji wa klabu maarufu ya Coton Sport FC de Garoua tayari ...
KIUNGO mshambuliaji Najim Mussa aliyekuwa anaichezea Namungo kwa mkopo akitokea Singida Black Stars, anakaribia kujiunga na Pamba Jiji, baada ya nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza ...
ALIYEKUWA Kocha wa utimamu wa mwili wa Yanga Princess, Alli Mbaga ameaga rasmi kwenye kikosi hicho baada ya mkataba wake kumalizika na inaelezwa viongozi wa timu wameanza mazungumzo na ...
MSHAMBULIAJI huru Anuary Jabir, imeziingiza vitani timu tatu kuwania saini yake kwa ajili ya msimu ujao ambazo ni Namungo, ...
KIUNGO aliyemaliza mkataba Tanzania Prisons, Berno Ngassa amewataja wachezaji wanne aliyokuwa anawatazama kama mfano wa kuigwa wanavyocheza kimbinu na akili msimu uliyopita.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results