News

Jeshi la Polisi limesema limepokea taarifa za kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC),Padri Charles Kitima kwa kushambuliwa na kitu butu kichwani na watu wawili wasiojulikana wakati ...