News

Wanafunzi wawili wa kidato cha nne shule ya sekondari Morogoro na dereva wa bodaboda waliyokuwa wamepanda wamefariki dunia ...
Kijana mmoja aitwaye Rajabu Musa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, baada ya kumshambulia ...
Jumla ya wavuvi 427, wakiwemo askari kutoka Jeshi la Magereza, wamekabidhiwa boti kumi katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Mkoa wa Shinyanga una jumla ya vituo 103 vya kulelea watoto wadogo mchana, ambapo ni vituo 51 pekee ndivyo vilivyosajiliwa ...
Kupanda kwa gharama za maisha kumeathiri wanafunzi vyuoni nchini Tanzania, baadhi wakilazimika kuahirisha masomo.
Kiwanda cha kimkakati cha kutengeneza chaki kimeanza majaribio ya uzalishaji ambapo katoni za chaki 11,884 zenye thamani ya ...
Watu watatu wamepoteza maisha na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi dogo kuligonga lori kwa nyuma lililokuwa limesimama ...
Mkoa wa Dar es Salaam umeweka wazi maeneo 88 yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji na uendelezaji wa shughuli mbalimbali za ...
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Mbeya limezifungia leseni 42 za madereva, wakiwemo madereva wa ...
Hatua ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, ...
Tathmini ya uendeshaji wa maabara binafsi za afya, iliyofanywa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa ...
Wataalamu wa uchumi nchini wametoa maoni wakipendekeza namna ya kuwezesha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ...